Base (Icyongereza) | Kinyarwanda |
---|---|
KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI TENDAJI YA TPIF, Kikao cha kwanza cha kamatitendaji cha tpif kimefanyika tarehe 29/3/2014, kikao hicho kilikuwa ni chamafanikio makubwa sna kwani pamoja na mambo mengine kili weza kutoka na maazimio matatu ambayo yana takiwa kufanyiwa kazi ndani ya mwezi mmoja maazimio hayo ni-;
mbali na maazimio hayo taasisi hiyo sasa imekuja na mikakati mipya ya kuhakikisha kuwa ina endelea mbele na kufikia malengo yake iliyo jiwekea. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe