Envaya

/twg/news: English

BaseEnglish
Tunatoa shukrani kubwa kwa shirika la The foundation for civil society kwa kutuwezesha kupata mafunzo ya uongozi mpango mkakati pamoja na utunzaji wa fedha kwani japo kuwa tuli anza kukata tamaa kwa kuchelewa kwa ruzuku hivi sasa tuna fanya kazi kwa kujiamini japokuwa bado tunaendelea na mafunzo .We are grateful for the organization of The Foundation for Civil Society to enable us to get leadership training program strategy and handling of money for at least a faint static began late in subsidies we currently work with confidence even though we are still undergoing training.Edit
vijana wamekuwa na muamko mkubwa wa mafunzo ya uelimishaji rika yanayo tolewa na shirika kila juma mosi mafanikio ya kuwapata vijana wengi yamepatikana, shirika lilipo anzisha michezo mbalimbali hasa mpira wa miguu kwa vijana walioko mashuleni na walio maliza masomo wa rika tofauti lengo lashirika kuwaepusha vijana namakundi ya kuwapotosha,makundi ya ulevi n.kyoung people have had awareness massive training of peer educators that are supplied by the organization every Saturday successfully find many young people has been made, the organization that exists originates various sports especially football to young people who are in school and who are graduates of multigrade goal lashirika kuwaepusha youths in crowds of seduce, groups of drunkenness etc.Edit
leo nimejiunga(Not translated)Edit
Ndugu wadau pamoja na wana asasi wote natumaini wote hamjambo pamoja nakuwa wote tuko ndani ya chombo kimoja au boti moja nia na madhumuni nikupata ulimengu wenye usawa na haki maridhawa amani na utulivu.Pamoja nakuwa ndani ya chombo kimoja lakini milango ya kutokea ni tofauti sisi wenzenu wana TUNAWEZA WOMEN GROUP tume azimia kutoa chagamoto kwa wanafunzi wa shule za msingi hapa nchini tukianzia na manispaa ya ilala – Changa moto yenyewe ni kwamba tuna azimia kutoa zawadi...(Not translated)Edit