About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/twsedhro/post/6841
: English
Base
English
Afisa Mipango na Mratibu Miradi wa shirika la Tanzania Women Social Economic Development and Human Rights Organization Bwana William Daudi amesema kwamba, shirika lake kwa sasa linatarajia kuendesha mradi wa kuongeza nguvu katika utekelezaji wa Sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia ya mwaka 2000. akizungumza katika kikao cha Kamati kuu Mapema wiki jana, alisema kwamba shirika lake litatekeleza mradi wenye thamani ya shilingi arobaini na nne milioni na laki nane na hamsini elfu (...
Officer Programs and Projects Coordinator of the organization of Tanzania Women Social and Economic Development Human Rights Organization Lord William David has said that his organization is currently running a project to add linatarajia force in the implementation of development policies for women and gender in 2000. speaking at a session of the Central Committee early last week, said that his organization litatekeleza project worth forty shillings and four million and eight hundred...
Edit