Society for women i and Aids in Africa (SWAA) ni shirika lililoanzishwa na wanawake wa Africa miaka 18 iliyopita na Tanzania kuwa na Tawi tangu mwaka 1998 makao yake makuu yakiwa Dar-es salaam. Mwaka 2009 february lilipata usajili wake kamili kwa msajili wa mashirika yasiyo ya kiserikali, na kupewa namba 0912 ,certificate ya comliance hivyo kuwa huru kufanya kazi kama shirika rasmi na lenye kutoa taarifa zinazojitegemea. – Tangu mwaka 2005 tukiwa kwenye mwamvuli tulifanya kazi... | Society for women in and Aids in Africa (SWAA) is an organization founded by women in Africa 18 years ago and Tanzania have a branch since 1998 Headquartered in Dar-es-salaam. February 2009 gained full registration with the Registrar of NGOs, and given the number 0912, Certificate of comliance thus be free to work as a corporate official and independent reporting. – Since 2005 we at umbrella we performed various duties to promote community related to issues of HIV / AIDS for... | Edit |