(image) – Msichana huyu anaesoma katika Shule ya Sekondari ya Mziha kata ya MZIHA shule iliyopo Tarafa ya Turiani, ni mmoja wawasichana ambao alieleza viongozi wa shirika hili athari ya kukaa mbali na kuwa wapo hatarini, katika kubakwa kwani wanafika nyumbani kwao usiku na huwa wanondoka asubuhi sana nyumbani kwao na kufanya muda wao mwingi kuishia njiani kwa kutembea kwa miguu au kuomba lifti za pikipiki na baiskeli. Wanafunzi wengine wanatoka zaidi ya kilomita... | (image) – The girl is a esoma in School Mziha county MZIHA existing school division Turiani, is one wawasichana who described the leaders of this organization traces to stay away from that are endangered, in the rape because they come home at night and tend wanondoka morning home and make the most of their time on the road to end up walking on foot or by request of motorcycle and bicycle ride. Other students come from more than five kilometers to go and return... | Edit |