sababu ya kuwapeleka hawa vijana JKT haiko wazi kihivyo sana kwani wanafundisha hawa vijana mbinu nyingi na aplication zero sasa basi tuanaomba hizo gharama za training zibadilishwe kwani wanapata ujuzi wasioutumia hizo fedha zikajenge maabara kwa sasa wakishajua wakifanya training watawapeleka wapi basi waendelee na zoezi lao sio kututafutia taabu wimbi la wezi ugaidi usio na kikomo,na makundi mengi ya kihalifu yasiyokuwa na mipaka | (Bila tafsiri) | Hariri |