UFUNGUZI TAWI JIPYA – Napenda kuwapa taarifa wadau na wanaharakati wote kuwa Makao makuu ya Voyohede Mtwara yamekubari ombi la kufungua tawi jipya Dar es salaam kwa mkataba maalumu ambao utasainiwa na wanachama wa Dar ambao ofisi na eneo la mradi lipo kule Tabata kisukuru. Hivyo wabia wa asasi hii mnachaguo la wapi muende. Muongozo au mpango mkakati wa VOYOHEDE makao makuu unatambua uwepo wa tawi moja ambalo litafuata taratibu zilizopo katika mkataba, lengo lakuwa na matawi... | (Bila tafsiri) | Hariri |