Base (Swahili) | English |
---|---|
-Idadi ya Wanachama wa Tawi la CHAVITA Mtwara ni 6 ambao ni Vikundi vya Viziwi vya Wilaya 1 Kikundi cha viziwi Wilaya ya Masasi - ME 15 KE 10 JUMLA 25 2. Kikundi cha viziwi Wilaya ya Mtwara Vijijini - ME 13 KE 3 JUMLA 19 3. Kikundi cha Viziwi Manispaa ya Mtwara/Mikindani - ME 19 KE 16 JUMLA 35 4. Kikundi cha Viziwi Wilaya ya Nanyumbu - ME 6 KE 6 JUMLA 12 5. Kikundi cha Viziwi Wilaya ya Newala - ME 6 KE 7 JUMLA 13 6. Kikundi cha Viziwi Wilaya ya Tandahimba - ME 16 KE 8 JUMLA 24 Jumla ya Wanachama katika vikundi vya Viziwi vya Wilaya kwa Mkoa wa Mtwara ni 128. |
-Number of Members of the branch CHAVITA Mtwara are six who are Deaf Groups of Districts A group of deaf Masasi District - KE ME 15 10 TOTAL 25 2. A group of deaf Mtwara Rural District - KE ME 13 3 TOTAL 19 3. Deaf Group Municipal Mtwara / Mikindani - BS ME 19 16 TOTAL 35 4. Deaf Group Nanyumbu District - KE ME 6 6 TOTAL 12 5. Deaf Group Newala District - KE ME 6 7 Total 13 6. Deaf Group Tandahimba District - KE ME 16 8 Total 24 Total Members in groups for the Deaf District of Mtwara Region is 128. |
Translation History
|