kuhakikisha watu wenye ulemavu wa macho wanaishi bila kunyanyaswa na wanapata haki za msingi na kuwajibika kufanya kazi za mikono kama watu wengine.kuhakikisha watuwenye ulemavu wa macho wenye umri wakwenda shule wanapelekwa shule.kutoa mafunzo ya miradi wanayoweza kuifanya wasioona. | (Not translated) | Hindura |