About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/woy/post/1650
: English
Base
English
Taarifa ya mafunzo ya stadi za maisha na uongozi yaliyotolewa kwa VSI katika ukumbi wa ofisi ya WOY Moshi – Utangulizi – Kwa msaada kutoka SATF White Orange Youth wanatekeleza mradi unaitwa ‘Vijana Simam Imara’ Mradi huu umeanzishwa kwa kujifunza mafanikio ya mfano kwa shirika la Humuliza linalopatikana kanda ya ziwa Victoria. Shughuli ambazo WOY wanafanya katika mradi huu ni pamoja na kuwafundisha vijana elimu ya uongozi na stadi za maisha Katika mwezi wa Mei WOY ilifanya mafunzo...
Report on life skills training and leadership provided by VSI in the hall of the office of Moshi WOY – Introduction – With help from SATF White Orange Youth are implementing a project called 'Youth Simam Stable' This project has been initiated to study the success of the model for the organization of Humuliza found the lake Victoria region. WOY activities that are performed in this project include education and teach youth leadership and life skills in the month of May WOY conducted...
Edit