Base ((unknown language)) | English |
---|---|
Mkutano wa siku 3 wa kukusanya maoni ya katiba umemalizika na vijana wamefanikiwa kutoa maoni yao. mambo makuu yaliyojitokeza ni pamoja na. Madaraka ya rais ni makubwa, idadi ya wabunge na idadi ya majimbo yaongezwe, haki za walemavu zibainishwe, lugha ya kiswahili iwekewe mkazo na kuthaminiwa, serikali tatu italegeza utengano wa muungano |
(Not translated) |