Envaya

/woy/post/113765: Kiswahili: WIMut2h3cH0JOpVJHMQ0BdNU:content

Asili ((unknown language)) Kiswahili

White Orange Youth imeanza kukusanya maoni kutoka kwa vijana wa Moshi kuhusiana na rasimu ya katiba mpya. Washiriki wakiwa katika vikundi wakichambua rasimu ya sasa.

Mkutano huu umeanza leo katika ukumbi wa Mr. Price city hall Moshi tarehe 28 mpaka 30 August 2013

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe