Envaya
/shimmakuta/post/75839
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Tunahitaji mlichokipata mkakitumie katika mashirika yenu
(Bila tafsiri)
Hariri
MTANDAO WA MASHIRIKA YASIYOKUWA YA KISERIKALI KATIKA WILAYA YA MTWARA wameendesha mafunzo ya siku mbili juu ya kuwajengea uwezokuhusu utetezi wa masuala ya jinsia na ukimwi kwa Azaki wanachama juzi na jana katika manispaa ya Mtwara yaliyofadhiliwa na GIZ (image) Washiriki wa mafunzo ya kujenga uwezo kuhusu utetezi wa masuala ya jinsia na ukimwi kwa Azaki yaliyofadhiliwa na GIZ.
(Bila tafsiri)
Hariri