kuhamasisha upimaji wa virus vya ukimwi kwa jamii kwa hiyari – kutoa msaada kutegemeana na tuupatapo kutoka kwa wahisani kwenda kwa waishio na virus vya ukimwi.na kuhakikisha inawafikia walengwa kama ilivyopangwa. – kujengea uwezo kwa waliogundulika na virusi vya ukimwi kuishi kwa makundi yenye matumaini – kupigania na kutetea haki za watu wanaoishi na virusi vya ukimwi na watoto yatima watokanano na kufiwa na wazazi wao (mmoja au wote) ... | encourage testing for HIV viruses in the community for voluntary – provide assistance depending on the tuupatapo from donors to the living and viruses Virus mwi.na ensure beneficiaries reached as planned. – capacity building for those diagnosed with HIV live in groups hope – fight for the rights of people living with HIV and orphans watokanano and the loss of their parents (one or both) | Edit |