Asili (Kiingereza) | Kiswahili |
---|---|
MAZOEZI NI MOJA YA NJIA SALAMA KUJENGA AFYA ILA PIA KUHIMILI MIHEMKO YA MWILI HUSUSANI KATIKA KIPINDI CHA MABADILIKO YA MWILI (BALAHE) - HII NI MOJA YA MAZOEZI KWA VIJANA NJE YA SHULE KUPITIA MRADI WA ''PAMBAZUKO" UNAO TEKELEZWA NA ASASI YA UNA TANZANIA KWA HISANI YA UBALOZI WA UFARANSA KUPITIA WILAYA YA KINONDONI KWA KATA KUMI LENGO NI KUFIKIA VIJANA 150 WALIYO NJE YA SHULE HUSUSANI MAKUNDI MAALUM |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe