Base (Swahili) | English |
---|---|
kuhamasisha na kushawishi jamii juu ya ushirikishwaji wao katika kuwalea mvccs
baadhi ya wananchi hawajui kiswahili, wanongea lugha za kikabila ni vizuri tukiwa na wakalimani ambao watakuwa wanatusaidia kutafsiri lugha ili kila mtu aweze kuelewa na kuchangia maoni yake lugha ni chombo cha mawasiliano kwa hiyobasi tukiwa na wakalimani jamii nzima itauelewa mradi wetu vizuri na ushiriki wao utakua mzuri pia language barrier kuna baadhi ya maeneo wananchi hawajui kiswahili wanaongea kisukuma na kinyamwezi tu kwahiyo mawasiliano yanakua magumu kupitia wakalimali tunaweza kumaliza kabisa hili tatizo tunapokua kwenye mikutano |
encourage and convince the community about their participation in the education mvccs some people do not know Swahili, usually speak some languages of ethnic we are well and interpreters who will help us interpret the language so everyone can understand and share his views Language is a tool for communication with a hiyobasi community interpreters itauelewa our project well and good participation will grow too language barrier There are some places people do not speak Swahili and Nyamwezi just pushing so hard contacts growing through and limali we can deplete this problem we grew up on meetings |
Translation History
|