Envaya
/temoa/post/9
: English
Base
English
Mungu ibariki Kyela, mungu ibariki Tanzania!
(Not translated)
Edit
Toa maoni yako; ni jinsi gani jamii husika tutainusuru na janga hili?
(Not translated)
Edit
Departments
(Not translated)
Edit
(image) Kyela hatarini kwa mafuriko tena: – Kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani Kyela mkoani Mbeya. kuna taarifa kuwa maji yameshaanza kuingia kwenye kaya za watu. – Inasemekana kuwa baadhi ya wakazi wa maeneo hayo wameshaanza kukimbia makazi yao kuelekea sehemu za mwinuko ili kunusuru maisha na kuokoa mali zao......
(Not translated)
Edit