Envaya

/temoa/post/25: English: WIQYILvzz0Gjypz1BMBAUXAX:content

Base (Swahili) English

A TENTATIVE PLAN OF AN ORGANIZATION IN THE YEAR 2015/2016-CHATO DISTRICT COUNCIL

1. CAPACITY BUILDING PROJECTS:

  • KUWAJENGEA UWEZO VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTATUA CHANGAMOTO ZA ELIMU VIJIJINI
  • KUWAJENGEA UWEZO VIONGOZI WA SHIRIKA KUFUATILIA MAENDELEO YA ELIMU VIJIJINI NA KUJENGA OFISI ZA SHIRIKA.
  • KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE NA VIJANA KUPAMBANA NA UMASIKINI (UFUGAJI WA KUKU, SAMAKI NA NYUKI)

2. UTAFITI

  • USHIRIKI WA WAZAZI KATIKA MAENDELEO YA ELIMU VIJIJINI
  • UFAULU WA WANAFUNZI SEKONDARI
  • UTEKELEZWAJI WA MITAALA NA SERA ZA ELIMU KATIKA SHULE ZA VIJIJINI
  • UELEWA WA WANAJAMII KUHUSU SERA NA MIPANGO YA SERIKALI JUU YA MAENDELEO YA ELIMU

3. UHAMASISHAJI:

  • KUHAMASISHA WANAFUNZI KUSOMA KWA BIDII
  • KUHAMASISHA WAZAZI KUZINGATIA UMUHIMU WA ELIMU KATIKA JAMII
  • KUENDESHA MASHINDANO YA KIMICHEZO NA KITAALUMA

 


(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register