Base (Swahili) |
English |
- Je, Pesa ya elimu bure imefanya kazi iliyokusudiwa?
- Je, ni changamoto zipi zinaikumba sekta ya elimu juu ya utekelezaji wa Mpango wa Elimu Bure?
- Je, mafanikio gani sekta ya elimu inaweza kujivunia kutokana na mpango wa Elimu Bure?
- Taja mambo ambayo yamekwama au kushindwa kutekelezwa katika sekta ya elimu kwa sababu ya kuwepo kwa mpango wa Elimu Bure.

|
|