Log in

/takuuki/history: English: WI0002FC1B7D672000002926:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English

 

Taasisi ya kupambana na UKIMWI Kitangari ilianzishwa mwaka 2007,na ilipata usajili wa kudumu Aprili 2008.

Asasi hii imeweza kuendesha mafunzo ya aina mbili.

1.Imeendesha mafunzo ya kujenga Uelewa wa Ugonjwa wa UKIMWI kwa wasichana wenye umri kati ya miaka 11-20 kwa Ufadhili wa RFA-Mtwara.

Kata iliyonufaika na mafunzo hayo ni MNYAMBE wilaya ya Newala.

2.Imeendesha mafunzo ya UNASIHI NA UPIMAJI WA HIARI WA VIRUSI VYA UKIMWI.

Kata zilizonufaika na  mafunzo hayo ni Kitangari na Maputi.

Mafunzo hayo yaliwashirikisha Wakunga wa Jadi,Wasichana,akina mama,Wazee,Walemavu wa aina mbalimbali na akina baba.Mafunzo haya yalifadhiliwa na The Foundation for Civil Society mwaka 2009.

 

Institute Kitangari fight against AIDS was established in 2007, and received a permanent registration in April 2008.

This organization has two types of training.

1.Imeendesha training to build understanding of the disease of AIDS for girls aged 11-20 years with funding of RFA-Mtwara.

Cut iliyonufaika and training are MNYAMBE Newala district.

2.Imeendesha UNASIHI training and testing for HIV / AIDS voluntary.

Cut zilizonufaika and training are Kitangari and Maputi.

Yaliwashirikisha training traditional birth attendants, girls, women, elderly, disabled and women of various types of these baba.Mafunzo yalifadhiliwa by The Foundation for Civil Society in 2009.


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
August 22, 2010
Institute Kitangari fight against AIDS was established in 2007, and received a permanent registration in April 2008. – This organization has two types of training. – 1.Imeendesha training to build understanding of the disease of AIDS for girls aged 11-20 years with funding of RFA-Mtwara. – Cut iliyonufaika and training are MNYAMBE Newala district. – 2.Imeendesha...