Base (Swahili) | English |
---|---|
Phytza@yahoo.com (Peace and Hope for Youth Development "PHY") Dhana ya kutowajali vijana hasa wa vyuo mbalimbali hasa vyuo vya elimu ya juu katika suala zima la Ukimwi, kwakuwa jamii inaamini kuwa vijana hawa wana uelewa kuhusu UKIMWI na madhara yake, kitu ambacho kwa mtazamo wangu sio sahihi. Hivyo nadhani vijana wa elimu ya sekondari na vyuo vya elimu ya juu wanapaswa kuelimishwa pia stadi za maisha ili kupata elimu ya kujithamini, na hivyo kuepuka kupoteza watalaamu katika fani mbalimbali kwa njia ya UKIMWI. |
Phytza@yahoo.com (Peace and Hope for Youth Development "PHY") The concept of youth, especially university kutowajali especially various colleges of higher education in the context of AIDS, because society believes that the young people have the knowledge about AIDS and its consequences, something that my view is incorrect. So I think the young people of secondary education and higher education colleges should also be educated in order to obtain life skills education, self-esteem, and thus avoid the loss appeared as an expert in various fields through AIDS. |
Translation History
|