Base (Swahili) | English |
---|---|
TUKOMESHE ajira kwa watoto. Hawa ni watoto wa kike wakazi wa eneo la Iziwa Jijini Mbeya wakiwa wamebeba kuni kwa ajili ya kuuza ili kujipatia kipato. |
TUKOMESHE child labor. These girls are residents of Mbeya city Iziwa carrying firewood for sale to earn income. |
Translation History
|