Tanzania women of Action ni shirika lisilo la kiserikali ambalo limeanzishwa na baadhi ya wanawake lenye nia ya kufanya kazi na jamii ya wanawake na watoto.Shirika hili limeanzishwa hapa Dar es salaam na limejisajili kufanya kazi Tanzania nzima,Tawa imeanzishwa mwaka 2007 na kusajiliwa mwaka 2012.Kazi kubwa ambayo imeishafanywa na Tawa ni kuwaelimisha wanawake jinsi ya kujitegemea kwa kjifanyia biashara zao wenyewe,kama vile ushoaji, kuchonga vinyago,kutengeneza sabuni... | Tanzania women of Action is an NGO which had been established and some women are interested in working with communities of women and this watoto.Shirika Dar es Salaam had been established here and limejisajili whole work Tanzania, Tawa Formed in 2007 and registered in 2012. The major task that imeishafanywa and Tawa is to educate women how to self-sufficiency kjifanyia their own businesses, such as ushoaji, carved masks, soap making and many other Tumejikita also to... | Edit |