Maswali na majibu ya wahanga wa mafuriko{Mto mzinga Mbagala Mission) – 1)Mtaa wako unahitaji kitu gani? – Tunahitaji, maji safi na salama, barabara, mitaro ya kuruhusu maji kupita kwa urahisi kipindi cha mvua – 2)Unaishi eneo gani? {Mtaa gani} – Mtaa wa darajani mto mzinga Mission – 3}Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako? – Mali zangu zote zimepotea ikiwemo ,pesa, nguo magodoro... | (Bila tafsiri) | Hariri |