Envaya
/tawa/post/115444
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Umoja ni nguvu ,hivyo wanawake tuwe na nguvu ya pamoja ili kuleta maendeleo ya nchi.
(Not translated)
Hindura
Picha hapo chini zinaonyesha matukio mbalimbali yaliyotokea siku ya wanawake duniani,huu ni mkutano uliojumuisha wanachama wa asasi yetu ili kujadili maedeleo ya kazi za asasi kwa ujumla.Vilevile tulikuwa na taarifa mbalimbali za ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto wa kike.
(Not translated)
Hindura