Envaya
/tawa/post/102956
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Tunaomba makundi mengine ya wanawake kuiga mfano wa bi Kijo Simba, na Annanilea Nkya kwa ujasiri waliouonyesha pia upendo na kujali maisha ya watanzania wengine.
(Not translated)
Hindura
Tunawapongeza wanaharakati waliojitokeza kuonyesha hali ya kujali kwa kuandamana kuishinikiza serikali kumaliza mgomo wa madaktari ,hii imeonyesha kuwa kati ya wanaharakati waliojitokeza ni wanawake TAMWA, LHRC.TGNP na wengine ambao wameonyesha kuguswa kwa matatizo mbali mbali yaliyojitokeza wakati wa sakata hilo. Hii imeonyesha kuwa wanawake ni jasiri na tunaweza pia.
(Not translated)
Hindura
Wanawake tujengeane uwezo na tuwe na nguvu ya pamoja ili tutetee jamii ya watanzania .
(Not translated)
Hindura
MAMBO TULIYOJUMUISHA KWA WIKI HII. – kwanza kabisa tunaishukuru serikali kwa kumaliza mgomo wa ma daktari uliodumu takribani wiki tatu.Hii imetufundisha kuwa katika kudai haki ni lazima uchukue hatua zinazokubalika ili chombo husika kiweze kutambua suala husika – tumeshuhudia watu walioathirika kwa kiasi kikubwa ni wanawake na watoto,kwani asilimia kubwa ya watoto wanaolazwa ni akina mama ndio wanao wajibika kuwauguza na akina baba wakiwa katika shughuli zao...
(Not translated)
Hindura