Tunasikitika kuona familia hizo ambazo serikali haijazishugulikia wakati wenzao waliopata tatizo kama la kwao wakiwa Mabwepande ,bado wanategemea kupatwa na maafa zaidi ya yale ya mwanzo.Hivyo asasi za kitaifa na kimataifa tunawaomba waingilie kati suala hili watu hawa wanusurike. | (Bila tafsiri) | Hariri |