Base (Swahili) | English |
---|---|
.Wakazi wa Eneo la keko wanahitaji kuboreshewa miundo mbinu kutokana na maeneo mengi kuharibiwa na maji. .Kwa waliopoteza rasilimali,mitaji,vifaa vya kazi watafutiwe njia ya kuwawezesha waanze upya kwenye shughuli zao za kazi,kuepusha uhaalifu utaohatarisha maisha ya wananchi wengine. |
(Not translated) |