Interview 7 – 1.Unaishi eneo gani?! – Magulumbasi 'B' – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Mfereji mkubwa unaotoka barabara kubwa ya Nyerere mpaka bahari ya hindi utengenezwe ili kuruhusu maji kupita wa urahisi.
Kivunjwe kiwanda cha mwenye kampuni ya Ruby kilichojengwa sehemu iliyoziba mfereji wa maji.
Kuzibitiwe taka kwa kuwekwa sehemu maalamu ya kutupwa taka.
3.Mafuriko yameleta... | (Not translated) | Edit |