Interview 5 – 1.Unaishi eneo gani?! – Keko mwanga 'B' – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Kuzibuliwa mitaro,kujengwe mifereji,kuvunjwe kuta zitazozuia maji. – 3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! – Vitu vyangu havikuharibika,niliwahi kuvihamisha juu ya bati. – 4.Mafuriko yameleta athari gani kwenye maisha yako ya kila siku?! ... | (Bila tafsiri) | Hariri |