Base (Swahili) | English |
---|---|
Interview 3 1.Unaishi eneo gani?! Magulumbasi 'B' 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?!
3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! Tv na redio ndivyo vimeharibika,vingine niliwahi kuhamisha kutoka ndani ya nyumba. 4.Mafuriko yameleta athari gani kwenye Maisha yako ya kila siku?! Magonjwa kama Malaria,Kuharisha,kutokana na maji taka mbu hawazuiliki hata kwa matumizi ya chandalua. 5.Vyanzo bora vya maji vimepata athari gani kutokana na mafuriko?! Bomba lilipasuka hivyo hatuna kabisa maji ya kutumia,inatubidi kwenda kuchota maji kwenye mabomba ya watu na kutugharimu hela kuyapata maji hayo. 6.Kama una kazi,inakuchukua muda gani kutoka nyumbani kwako mpaka eneo lako la kazi?! Sina muda maalumu maana biashara yangu ni ya kuzunguka kwa watu na kukopesha bidhaa ninazouza.
|
Interview 3 What 1.Unaishi area! Magulumbasi 'B' Your 2.Mtaa What you need something very much!
What 3.Mafuriko localized effect on the house you lived with your things! TV and radio is null, the other I had to transfer from inside the house. What 4.Mafuriko localized effect on your daily life! Diseases like Malaria, Diarrhea, due to waste water repellent not avoidable even with the use of the veil. 5.Vyanzo better what effect water has received due to flooding! Lilipasuka tap water so we do not quite use, we have to fetch water in the pipes and kutugharimu gains across the water. 6.Kama you work, how long inakuchukua from your home to your area of work?! I have no specific time for my business are around for people to lend money selling my products. |
Translation History
|