Geofrey Tengeneza – Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu (MB) ameiambia ya Bodi ya Utalii Tanzania – TTB kuwa tatizo la sugu bajeti isiyotosheleza mahitaji ya Bodi hiyo katika kutekeleza majukumu yake litapatiwa ufumbuzi kwa kiasi kikubwa mara baada ya fedha kwa ajili ya mfuko wa maendeleo ya Utalii (Tourism Development Levy kuanza) kuanza rasmi ambapo moja ya vyanzo vyake vya fedha ni tozo la kitanda siku kwa watalii watakaokuwa... | (Not translated) | Edit |