Shirika Prison Fellowship Tanzania ni shirika lisilo la Kiserilkali ambalo hujishughulisha na kutoa huduma kwa Wafungwa,wafungwa waliomaliza kifungo na familia zao katika maeneo yote ya kijamii kiroho na kimwili.(This translation refers to an older version of the source text.)