Base (Swahili) |
English |
Ikiwa imebakia miaka karibu minne(4) kabla uchaguzi mkuu wa Madiwani,Wabunge na Rais, bado idadi kubwa ya wananchi walioko katika magereza mbalimbali nchini hawana matumaini ya kupiga kura kuchagua viongozi wao. Wapo ambao ni mahabusu na wengine ni wafungwa. Je kuna utaratibu unaowaruhusu wafungwa ambao tarehe ya uchaguzi watakuwa wamemaliza vifungo vyao wataruhusiwa kupiga kura? Je mahabusu ambao kesi zao hazijasikilizwa na upelelezi haujakamilika, je watapata nafasi ya kupiga kura? (maana wao ni watuhumiwa tu )Je kuna utaratibu wa kuruhusu vituo vya kupigia kura maeneo ya magereza na mahabusu?
|
Have remained nearly four years (4) before the general election of Councillors, MPs and the President, still a large number of people living in various prisons across the country are hoping to vote to choose their leaders. Some who are inmates and other prisoners. Are there procedures allowing prisoners whose date of the election will have completed their sentences will be allowed to vote? Do inmates who their case investigation zijasikilizwa and incomplete, do they have a chance to vote? (Meaning they are only suspects) Is there a mechanism to allow stations to prisons and inmate areas?
|