Base (Swahili) | English |
---|---|
Sakale Development Foundation ni shirika lisilokuwa la kiserikali ambalo lilianzishwa mwaka 2006 na kusajiliwa rasmi na serikali tarehe 05/03/2007 kwa hati ya usajili namba OONGO/1258. shirika lilianzishwa na wanachama waanzilishi 13 hadiĀ wakati huu shirika lina wanachama 21. Mipaka ya shughuli za shirika kwa mujibu wa usajili wake ni Tanzania bara hata hivyo kwa sasa shirika bado halija pata uwezo wa kushughulika katika eneo pana, hii ina maananisha kuwa kwa wakati huu tumejizatiti zaidi kufanya kazi katika eneo la wilaya ya Muheza na maeneo ya jirani, tutaongeza maeneo ya shughuli kwa kadri ya ongezeko la uwezo wetu. |
Sakale Development Foundation is a non governmental organization which was founded in 2006 and officially registered with the Government on 03.05.2007 for a certificate of registration number OONGO/1258. organization established by 13 founding members to the organization at this time consists of 21 members. Limits the activities of the organization according to its registration is Tanzania mainland, however the current organization has not yet lija have the ability to deal in a wide area, this has maananisha that this time we have committed more than working in the area of the district of Muheza and neighboring areas, We will add areas of activity according to the increase of our ability. |
Translation History
|