Nchi/Watu lazima iwe na viongozi, huo ni mpango wa mungu.Hakuna ubishi katika hilo, lakini je yeyote aweza kuwa kiongozi? bila shaka jibu ni hapana, hapa ina maana kwamba kuongoza ni kipaji kama ilivyo kwa vipaji vingine ambavyo mwanadamu hujaliwa na mwenyezi mungu.Katika Tanzania siku hizi inaonekana kipaji cha kuongoza kinatokana na utajiri wa mtu na au kama baba/mama akiwa na madaraka wakati huo.Hali hii imetandaa hadi katika kupata ajira. Bahati mbaya jamii... | (Not translated) | Hindura |