Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
DIRA YA UBOMA Kuwa asasi ya Mfano inayochangia katika utawala bora na maendeleo ya Taifa yanayowezesha wananchi kuheshimu haki za binaadamu na kuchangia harakati za Upunguzaji wa umasikini na kuchangia upatikanaji wa maisha bora na endelevu kwa wanawake, wanaume na makundi yaliyo pembezoni DHAMIRA YA UBOMA Kupitia njia SHIRIKISHI, UBOMA ina jukumu la Kuiwezesha jamii kutambua matatizo yanayoikabili, kujadili vyanzo na athari zake na hatimaye kuweka mikakati ya pamoja ya utatuzi wake; ikiwa ni pamoja na jamii yenyewe kusimamia mikakati hiyo kwa kutumia rasilimali zilizopo. Katika kazi zake zote; UBOMA huzingatia UADILIFU, UWAZI, UWAJIBIKAJI, UBUNIFU, KUJIFUNZA, UPENDO, USHIRIKIANO na HESHIMA.
|
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe