Envaya
/ucpg/post/78739
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Watu wote mnakaribishwa mje kupata burudani ya ngoma za asili toka TANGA
(Bila tafsiri)
Hariri
Usambara cultural Promotion Group-ucpg.Tunategemea kufanya tamasha la wazi la ngoma siku ya jmos 12.11.2011 katika viwanja vya Garden Ilala bungoni kuanzia saa 12 jioni wadau wote mnakaribishwa. Mwanaisha Yahya-katibu mwenezi-ucpg
(Bila tafsiri)
Hariri