Base (Swahili) | English |
---|---|
Kituo hiki kilianzishwa tarehe 16/3/2010 na kupata usaji wake tarehe 13/1/2012(CAP.318 R.E.2002) Lengo ni kuwaunganisha Waislam wote kuwa kitu kimoja kwa kila jambo linalogusa Waislamu na Uislamu na kuweza kushiriki katika maendeleo ya kukuza Elimu ya Akhera,Elimu ya Duniani na kukuza uchumi katika kuinua kipato na kushiriki katika shughuli za kijamii kwa kushirikiana waslamu wote bila ubaguzi. Kituo hiki kilianzishwa na Vijana na baadhi ya Wazee wa Kislamu wanaoishi Jijini Dar es salaam kutokana na Wingi wa Waslamu wa Vuga waishio Dar es salaam Kituo kilianza na wanachama 30 wanaume 18 na wanawake 12 na mpaka sasa kituo kinawanachama 301. Makao Makuu ya Kituo yapo Kijiji cha Bazo Kata ya Vuga Tarafa ya Soni Halmashauli ya Bumbuli Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga
|
This center was established on 16.03.2010 and get her teak tree on 01/13/2012 (CAP.318 RE2002) goal is to unite all Muslims have the same thing for everything linalogusa Muslims and Islam and to participate in promoting the development of education in the Hereafter , Global Education and economic growth in raising incomes and participate in social activities in conjunction Muslims all without discrimination. This center was founded by youth and some elders of the Muslims living in Dar es Salaam due to the multitude of Muslims living in Dar es Salaam Vuga Facility began with 30 members men 18 and women 12 and until now the facility kinawanachama 301. Headquarters Facility are Bazo Ward Village Vuga Soni Division of Bumbuli Halmashauli Lushoto District, Tanga Region |
Translation History
|