Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/RPPW/topic/65915/add_message
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Moja ya nguzo kuu ya Utawala Bora katika Asasi za Kiraia ni kuwa na kanuni zinazoongoza masuala ya fedha,mipaka ya kila kiongozi na wanachama, mali watu, manunuzi nk. Uwepo na matumizi thabiti wa nguzo hii muhimu sana ni KIVUTIO kikubwa sana kinachomvuta au kushawishi WANACHAMA, WADAU,WAFADHILI NA SERIKALI kuziamini asasi za kiraia. Kinyume chake Asasi hukosa kuaminiwa. Tufanyaje sasa?
(Bila tafsiri)
Hariri
Ni kweli na ukweli usiopingika, – Chakufanya kuanzia sasa ni kwa asasi zote za kiraia na mashirika yasiyo ya kiserikali kuunganisha nguvu za pamoja ili – kujigharamia wenyewe kwa kuchangia mafunzo, yaani cost sharing. Hufundisha au kuwezesha mafunzo juu uandaaji Mahesabu ya fedha na taarifa za ukaguzi nk RPPW husaidia kutengeneza Kanuni za fedha, Rasilimali watu, Manunuzi nakadhalika Hutoa mafunzo kwa kuchangia ( Cost sharing) kwa asasi ambazo hazijiwezi kifedha...
(Bila tafsiri)
Hariri
UTAWALA BORA KATIKA ASASI ZA KIRAIA:
(Bila tafsiri)
Hariri