KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI TENDAJI YA TPIF, – Kikao cha kwanza cha kamatitendaji cha tpif kimefanyika tarehe 29/3/2014, kikao hicho kilikuwa ni chamafanikio makubwa sna kwani pamoja na mambo mengine kili weza kutoka na maazimio matatu ambayo yana takiwa kufanyiwa kazi ndani ya mwezi mmoja maazimio hayo ni-; – kuazishwa kwa kamati maalumu ya maandalizi ya kongamano la kitaifa la tpif linalo tarajiwa kufanyika zanziba mwezi wa nne
kaandaa kamati ndogo kwa... | (Not translated) | Hindura |