Kuinua kipato cha jamii hususani wanawake. – Kuelimisha jamii kuhusu kuondokana na umaskini, kudhibiti Ukimwi, kuhifadhi mazingira na masuala ya jinsia kwa ujumla. – Kuelmisha wakulima wadogo na wakubwa, wafugaji na wavuvi kupata mazao mengi, mifugo bora na uvuvi halali na salama. | (Bila tafsiri) | Hariri |