Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/SHIMMAKUTA/post/62853
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Katibu wa shirika la NEDA Bw. Abdalla Sabihi akisoma taarifa ya juma la elimu ya watu wazima katika kijiji cha Mkunya Newala na wao ndiyo walioandaa maadhimisho hayo
(Bila tafsiri)
Hariri
Na Godwin Msalichuma, – Newala, Mtwara – Septemba 29, 2011 – JAMII katika Wilaya ya Newala wametakiwa kuanzisha madarasa ya elimu ya watu wazima ili kuondokana na tatizo la ujinga na umaskini uliokothiri haswa kipindi hiki Tanzania inavyoadhimisha miaka hamsini ya uhuru. – Hayo yalisemwa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Bw. Chitwanga Ndembo katika maadhimisho ya juma la elimu ya watu wazima yaliyofanyika kiwilaya katika...
(Bila tafsiri)
Hariri