SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA !! – Funguka, chukua hatua, mlinde mtoto apate elimu – Mtu binafsi, walimu, wanafunzi, wazazi na jamii kwa ujumla wanaaaswa kuwalinda watoto dhidi ya ukatili wa kijinsia na kuhakikisha kwamba shule ni mahala salama. – Jamii itafakari kwa kina jinsi vitendo vya ukatili wa kijinsia mashuleni vinavyoathiri maendeleo ya watoto wetu kielimu. Hivyo kuna haja... | (Not translated) | Hindura |