Fungua

/UMMM: Kiswahili

AsiliKiswahili
Kuwafikia wananchi walio katika mazingira magumu ili kuwapa elimu ya mazingira kwa ujumla wake na kurudisha uoto wa asili, Jambo muhimu ni kuhakikisha kuwa kila kaya inapata uhakika wa chakula, pamoja na mbinu za uvunaji wa maji ya mvua ili walio katika mazingira ya ukame wapate maji kwa matumizi yao ya kila siku. Uanzishwaji wa vitalu vya miche ya miti, ikiwa ni ya asili pamoja na ya matunda.(Bila tafsiri)Hariri