Tuko pamoja katika kuomboleza msiba huu mkubwa katika taifa letu – Hali hii kwa sasa iko katika baadhi ya mikoa na athari kubwa imetokea Dar es Salaam na tunasikia na kuona baadhi ya taasisi,watu binafsi n.k ikiwa ni pamoja na serikali zikichukua hatua kuwanusuru wahanga – Hima wana azaki tuwaunge mkono HAWA WASAMARIA WEMA kukabiliana na majanga na janga hili la mafuriko na mengine yanayotukumba na kurejea mara kwa mara ikiwa ni pamoja na ajali za barabarani na... | (Not translated) | Hindura |