HISTORIA YA ASASI YA TUSHIKAMANE ORGANIZATION – Asasi ya Tushikamane Organization ilisajiliwa rasmi tarehe 29/6/2011 na kupata usajili 00004721 katika wizara ya maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto na kufanya kazi katika mikoa yote Tanzania Bara. – Asasi ina jumla wanachama waanzilishi 34,wanawake w16 na wanaume 18.Makao makuu ya asasi yapo Kijiji cha... | (Not translated) | Hindura |