TAARIFA YA UHUWITSHAJI WA TAARIFA ZA WATOTO WANAOIHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI KATIKA KATA YA TUTUO-SIKONGE TAREHE 22.06.20012 – Kutokana nautafiti uliofanyika imeonesha kwamba watoto walio katoka mazingita hatarishi walio chini ya miaka 18 ni 220, wanawake wakiwa ni123 na wanaume ni 97. Kulingana na takwimu hizo wafadhili na wadau wa maendeleo wameziomba kamati za watoto waishio katika mazingira hatarishi kuweza kuzibaini familia zinazolea watoto hao na... | (Bila tafsiri) | Hariri |