mahudhurio ya wananchi yatakua mazuri zaidi endapo tutawafuata kwenye kata zao na si kuwakusanya sehemu moja – management iangalie uwezekano wa kufanya ipg meeting kwa kila kijiji na si kwa kila kata kama ilivyo kwa sasa ili kuwapa wananchi nafasi ya kuelezea mawazo yao kutoka katika bijiji vyao na si kwenda katani | attendance of the public will be better than if we followed them to their county and not to gather in one place – management to look at the possibility of making ipg meeting every village and not in each county as it currently is to give citizens the opportunity to express their thoughts from their bijiji not go hemp | Edit |