vijiji vingi vipo mbalimbali.. hii imesababisha watu wengi kushindwa kukutana katika eneo moja kutokana na umbali wa maeneo husika – d)ratiba ifanyiwe marekebisho kwani kutokana na umbali wa maeneo watu wengi wamekuwa wanachelewa kufika katika mhutano...hii inasababisha mkutano kuchelewa kuanza pia kuchelewa kwa shughuli nyingine – h)jamii imeelewa malengo ya mradi wa pamoja tuwalee pia imeahidi kutoa ushirikiano katika kipindi chote cha utekelezaji wa mradi ... | exist many different villages .. This has led many people fail to meet in one location and distance from the respective areas – d) a schedule for supervision made adjustments due to the distance of many sites have been late to arrive at the meeting mhutano ... this causes delay in starting too late for other activities – h) imeelewa community project with the objectives of tuwalee also pledged to cooperate during the whole period of project implementation ... | Edit |